Name : Juma
Email : Abdalla
Subject : RUSHWA KATIKA MKOA WA SHINYANGA

    Rushwa, Takrima etc.

    Hivi nyie mnalalamikia mtu kala karushwa ka sh 50,000/= hiyo ni rushwa au ni aksante kwa msaada uliotolewa. Rushwa wanakula wakubwa bwana, IPTL pale pana rushwa sio hivi virushwa vya hakimu wa mnanzese kala 20,000/= sitaki hata kusikia. Mimi naita hii ni Aksante.

BACK