Name : mgunga mwa mnyenyelwa
Email : mgunga@email.com
Subject : Uvivu unachangia RUSHWA

      Kweli uvivu ni tatizo!!

    Lakini pia kuna suala la watu kuto kuwa na mwanga juu ya haki zao za msingi. Mahali ambapo hapana kosa  kisheria mtu hujengewa mazingira na askari polisi aone kuwa kuna kosa na pengine hata aina ya adhabu ambayo ni ya bandia!! Mathalani kujua kuwa askari anatakiwa ajitambulishe  kwa mtu anayetaka kuwekwa chini ya ulinzi!! ama hata haki ya mtu kupata dhamana  katika makosa yasiyozuia dhamana!! Mtuhumiwa kwakuwa hajui haki yake ya kuwa na dhamana hujikuta anatoa hongo ili aipate haki yake.ELIMU YA HAKI ZA MSINGI ZA KIRAHIA KUHUSIANA NA MASUALA YA MAKOSA YA JINAI ITOLEWE KWA KINA

BACK