Name : Willum Sadomi
Email :
Subject : Uvivu unachangia RUSHWA
Sikubali kuwa uvivu ni chanzo cha Rushwa. Na siamini kama viongozi na wanahabari ndiyo wakuelimisha watu ili rushwa iondoke. Jiulize nani ni mla rushwa kwanza na nani amkanye mwenzie. Mfumo mbaya wa utendaji kazi na mlolomngo wa ukiritimba nicho cahnzo kikubwa cha rushwa. Je hawa unaowataja hawahusiki katika kudumisha ukiritimba?. Nenda bandarini Dar-es-Salam kutua Mzigo ndiyo utajua kuwa urasimu ninini na kwa nini watu wanatoa rushwa. Juzi kampuni
|
| BACK
|
|
|